KAULIMBIU:  Kiswahili - Mhimili wa Umoja, Maendeleo ya Elimu na Uchumi.

KUPATIWA ITHIBATI YA KITABU


Taratibu za kufuata wakati wa kumpatia mteja ithibati ya muswada au kitabu chake ni kama ifuatavyo: • Fika ofisini na muswada wako ukiwa katika nakala mango. • Muswada utakaguliwa idadi ya kurasa kwa ajili ya kulipia, ambapo gharama za malipo ni sh. 5000/= kwa kila ukurasa. • Baada ya kulipia, muswada utasomwa na hatimaye mteja atarudishiwa kitabu chake na kwenda kuingiza marekebisho aliyoshauriwa. • Ukisha kuingiza marekebisho hayo, atakirudisha tena kwa ajili ya kuhakikiwa kama umeingiza kwa usahihi marekebisho hayo, kadiri ya maelekezo uliyopewa. • Ikiwa marekebisho hayo yatakuwa yameingizwa kama ilivyoshauriwa, kitabu au muswada utagongwa muhuri na hatimaye mteja atapatiwa cheti cha ithibati kwa ajili ya kitabu chake, kuwa kinafaa kutumika kwa wadau aliokusudia kwa kuwa sasa kina lugha iliyo fasaha na iliyothibitishwa.Nifanyeje?

KUPATA HUDUMA YA TAFSIRI

Kwa wale wanaotaka kutafsiriwa vyeti ni lazima watuletee nakala halisi na sio fo.......

HUDUMA ZINAZOHUSU BARAZA KWA UJUMLA

Mtu, shirika kampuni au taasisi inayohitaji kufahamishwa chochote au kujua.......

KUPATIWA ITHIBATI YA KITABU

Taratibu za kufuata wakati wa kumpatia mteja ithibati ya muswada au kit.......