KAULIMBIU:  Kiswahili - Mhimili wa Umoja, Maendeleo ya Elimu na Uchumi.

HUDUMA ZINAZOHUSU BARAZA KWA UJUMLA


Mtu, shirika kampuni au taasisi inayohitaji kufahamishwa chochote au kujua namna ya kupata huduma zinazotolewa na Baraza inaweza kutumia njia zifuatazo:- 1. Tembelea tovuti ya Baraza ambayo ni http://www.bakita.go.tz 2. Kupiga simu Na. 2762243 3. Kuandika Barua kwa Anuani ifuatayo: Baraza la Kiswahili la Taifa S.L.P. 4766 Dar-Es- Salaam 4. Kuandika barua pepe ambayo ni bakita@habari.go.tz 5. Kufika katika ofisi za BAKITA zilizo Kijitonyama, kitalu Na. 45.BNifanyeje?

KUPATA HUDUMA YA TAFSIRI

Kwa wale wanaotaka kutafsiriwa vyeti ni lazima watuletee nakala halisi na sio fo.......

HUDUMA ZINAZOHUSU BARAZA KWA UJUMLA

Mtu, shirika kampuni au taasisi inayohitaji kufahamishwa chochote au kujua.......

KUPATIWA ITHIBATI YA KITABU

Taratibu za kufuata wakati wa kumpatia mteja ithibati ya muswada au kit.......