KAULIMBIU:  Kiswahili - Mhimili wa Umoja, Maendeleo ya Elimu na Uchumi.

Jina la Kitabu: Kamusi kuu ya Kiswahili

ISBN: 9789987020984

Jamii: Kamusi

Mchapishaji: BAKITA (2017)

Bei: Tsh 25,000/=

MAELEZO

Kamusi Kuu ya Kiswahili (KKK) (Toleo la 2) ni kamusi iliyoandika historia mpya na ya pekee katika ulimwengu wa matumizi ya lugha ya Kiswahili kwa kuwa ya kwanza kueleza maana na miundo ya maneno ya Kiswahili, kwa ukamilifu na uamilifu wa kila neno katika matumizi ya kila siku.